Habari za Punde

Mazishi ya Sheikh Nassor Bacho yalivyofanyika jana

 Maelfu ya waislamu wakiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad katika sala ya kumuombea marehemu Sheikh Nassor Bachoo katika viwanja vya Mnazimmoja mjini Zanzibar.
 Maelfu ya waislamu wakiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad katika sala ya kumuombea marehemu Sheikh Nassor Bachoo katika viwanja vya Mnazimmoja mjini Zanzibar



 Makamo wa kwanza wa Rais Maalime Seif Sharif akiongoza msafara wa mazishi ya Sheikh Nassor Bacho yaliyofanyika Donge
Huu ndiyo umati uliokuwepo Donge kuhudhuria mzishi ya Sheikh Nassor Bacho jana

6 comments:

  1. umati ulikuwa mkubwa nanweza kuufananisha na maziko ya Karume na msanii wa taarab Omar Kopa
    mungu aiweke mati ya mrehemu pahali anapostahili.

    ReplyDelete
    Replies
    1. unatakiwa umuombee dua wewe unafananiza na wengine

      Delete
  2. Hii si dua ya kumuombea Muislam. Muislam anatakiwa kuombewa kama hivi Allah amueke pahali pema peponi na amrahamu na ampe kauli thabit Aamiyn

    ReplyDelete
  3. Hiyo duwa aliyoomba Anonymous ni duwa ya kumuombea aliyekiwa hakuamini kama Mungu ni moja na Muhammad ni mjumbe wake

    ReplyDelete
  4. Allahmsulillah Allah kamjaalia Mar Nassor Bachu katika maziko yake hawakuwepo Wanafik! Inshallah Allah amuweke pema peponi pamoja na wazee wetu na waja wote wa kiislam waliotangulia mbele ya haki. Ameen.

    ReplyDelete
  5. inna lilahi wa inna ilayhi rajioon mungu amlaze mahali pema na amrehemu na awapatie ahli zake subra

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.