Maelfu ya waislamu wakiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad katika sala ya kumuombea marehemu Sheikh Nassor Bachoo katika viwanja vya Mnazimmoja mjini Zanzibar.
Maelfu ya waislamu wakiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad katika sala ya kumuombea marehemu Sheikh Nassor Bachoo katika viwanja vya Mnazimmoja mjini ZanzibarMakamo wa kwanza wa Rais Maalime Seif Sharif akiongoza msafara wa mazishi ya Sheikh Nassor Bacho yaliyofanyika Donge
Huu ndiyo umati uliokuwepo Donge kuhudhuria mzishi ya Sheikh Nassor Bacho jana
umati ulikuwa mkubwa nanweza kuufananisha na maziko ya Karume na msanii wa taarab Omar Kopa
ReplyDeletemungu aiweke mati ya mrehemu pahali anapostahili.
unatakiwa umuombee dua wewe unafananiza na wengine
DeleteHii si dua ya kumuombea Muislam. Muislam anatakiwa kuombewa kama hivi Allah amueke pahali pema peponi na amrahamu na ampe kauli thabit Aamiyn
ReplyDeleteHiyo duwa aliyoomba Anonymous ni duwa ya kumuombea aliyekiwa hakuamini kama Mungu ni moja na Muhammad ni mjumbe wake
ReplyDeleteAllahmsulillah Allah kamjaalia Mar Nassor Bachu katika maziko yake hawakuwepo Wanafik! Inshallah Allah amuweke pema peponi pamoja na wazee wetu na waja wote wa kiislam waliotangulia mbele ya haki. Ameen.
ReplyDeleteinna lilahi wa inna ilayhi rajioon mungu amlaze mahali pema na amrehemu na awapatie ahli zake subra
ReplyDelete