Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Citibank's, Patrick Dewide, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 12, 2013 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Citibank's, Patrick Dewide na Mkurugenzi Mtendaji wa Citibank Tanzania, Joseph Carasso (kushoto) wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 12, 2013 kwa mazungumzo. Picha na OMR
WANANCHI CHEMBA WAMEITIKA…RAIS SAMIA AAHIDI UJENZI BARABARA IMO YA
CHEMBA-SOYA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Chemba
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan
ametoa ahadi ya Ujenzi wa barabara ndani ya Wilaya...
10 minutes ago
No comments:
Post a Comment