Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Bonde la Muembe Mpunga,alipotembelea kuona athari za kilimo hicho akiwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini Unguja jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Bonde la Muembe Mpunga,alipotembelea kuona athari za kilimo hicho akiwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini Unguja jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Utafiti wa Wizara ya kilimo Khatib Juma Khatib,alipofika katika Bonde la Muembe Mpunga, kuona athari za kilimo hicho akiwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini Unguja jana
Mkulima wa Bonde la Mwembe Mpunga,Upenja Wilaya ya kaskazini A Unguja,akitoa malalamiko kuhusu kukosekana kwa pembejeo za kilimo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipofanya ziara ya kutembelea Bonde hilo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi na Wakulima wa Bonde la Muembe Mpunga,Upenja Wilaya ya Kaskazini B Unguja, alipofika kuona athari za kilimo hicho akiwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini Unguja jana.
Wanafunzi wa Skuli ya msingi Matetema Wilaya ya kaskazini B,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanafunzi hao baada ya kuifungua Skuli ya Sekondari ya matetema jana alipokuwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini Unguja,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
DK.MWINYI:CCM ITAFANYA KAMPENI ZA KISTAARABU KWA SERA ZENYE TIJA KWA
WANANCHI
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein
Ali Mwinyi, ambaye pia ni Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama
Cha...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment