Habari za Punde

Innaa Lillaahi Wainnaa Ilayhi Raajiuun -Mbunge wa Chambani Hatunaye tena

HABARI MPASUKO:
Mbunge wa Chambani Salim Hemed Khamis,amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili .Taratibu za kuusafirisha mwili kuelekea Pemba kwa mazishi zinafanyika.
Napenda kutoa salama za rambirambi kwa watanzania wote,Raisi,Spika wa bunge,bunge,Chama cha wananchi CUF,Familia ya marehemu pamoja na ndugu jamaa na marafiki na wotewalioguswa na msiba huu.
Bwana Ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe,AMEN.
Mbunge wa Chambani Salim Hemed Khamis, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili .Taratibu za kuusafirisha mwili... kuelekea Pemba kwa mazishi zinafanyika.
 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.