Habari za Punde

Innaa Lilllaahi Wainnaa Ilayhi Raaji'uun

Taarifa zilizotufikia ni kwamba Sheikh wetu Rashid  Al Battashiy ametangulia mbele ya haki hii leo asubuhi baada ya kuugua kwa muda.

Innaa Lillaahi  Maa Akhadha Walahu Maa A'atwaa wakullu shay-in 'Indahu liajalin Musammaa

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.