Makamo Mwenyekiti wa Timu ya michezo ya Ikulu ya Dar es Salaam George Mwakilana,alipokuwa akitoa salamu za Ikulu ya Dar kwan uongozi wa Tmu ya Ikulu ya Zanzibar,wakati wa Mkutano wa Timu hizo,wakati mazungumzo ya kutakiana kheri katika michezo mbali mbali itakayochezwa katika kipindi hichi cha wiki ya Pasaka inayofanyika Zanzibar,mazungumzo yalifanyika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA
Wanamichezo wa Ikulu ya Zanzibar na Dar es Salaam wakisikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,alikuwa akizungumza nao katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifan SUZA jana,Timu ya Ikulu Dar iko nchini kwa michezo mbali mbali ya Wiki ya Pasaka ikiwakatika kukuza Uhusiano na ushirikiano wa kimichezo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,akizungumza na wanamichezo wa Ikulu ya Dar es Salaam ,kwa niaba ya Rais wa Zanzibar,na kutaka kuleta mashirikiano zaidi katika michezo mbali mbali watakayoicheza katika kipindi hichi cha wiki ya Pasaka,wakiwa hapa nchini
Timu za Michezo za Ikulu ya Zanzibar wenyeji na Ikulu ya Dar es Salaam,zikiwa katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo ya kuwakaribisha Timu ya Ikulu Dar,ambapo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,aliwakaribisha kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein jana,ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA
Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu
NI SAMIA CHEMBA…AAHIDI MAKUBWA SEKTA YA KILIMO,SERIKALI KUNUNUA MATREKTA
MILIONI 10 KATIKA MIAKA MITANO IJAYO
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Chemba
WAKULIMA sasa ni neema tele kwao! Hivyo ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapi...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment