
Mkuu wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema, mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Baraza la wawakilishi Zanzibar, Mhe. Hamza Hassan Juma, (Kulia) Kamishna wa Utawala na Raslimali watu Clodwig Mtweve na kamishina wa Polisi Zanzibar Mussa. A. Mussa wakipitia hati ya maboresho ya Jeshi la Polisi wakati kamati hiyo ilipotembelea makao makuu ya Jeshi la Polisi, Dar- es salaam jana

Mkuu wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema akiagana na wajumbe wa kamati ya kudumu ya baraza la wawakilishi Zanzibar baada ya kumaliza kikao cha pamoja cha kujadili mambo mbalimbali yahusuyo usalama kikao hicho kilifanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dar es Salaam Jana (Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi)
No comments:
Post a Comment