Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Super Falcon na Bandari imeshinda 2--0

Meneja wa timu ya Super Falcon Hafidh Suleiman akiwa haamini timu yake ikirowa kwa mabao 2-0 dhidi ya timu ya Bandari katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan.
Mchezaji wa timu ya Bandari Mussa Omar akimpita beki wa timu ya Super Falcon Salum Abdalla katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar, timu ya Bandari imeshinda 2--0. 

Wapenzi wa mchezo wa mpira Zanzibar wakiwa wachache wakifuatilia mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar kati ya Super Falcon na Bandari uliofanyika uwanja wa Amaan.
Mchezaji wa timu ya Bandari  Othman Fadhil, akiruka kihuzi cha mchezaji wa timu ya Falcon katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar.
Mchezaji wa timu ya Super Falcon Salum Abdalla,akiwa na mpira akijiandaa kupita mchezaji wa timu ya bandari katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika katika uwanja wa amaan.   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.