Habari za Punde

Ujumbe kutoka Manispalit​i ya Kiruna Sweden waendelea na ziara Makunduchi

Bi Sofie Nordefors, mjumbe kutoka Manispaliti ya Kiruna ambaye anatoka Shirika la kuhudumia watoto (Save the Children) akiwa na watoto wa Skuli ya Kusini Makunduchi wakati wa ziara ya kutembelea skuli mbali mbali za Wadi za Makunduchi. Manispaliti ya Kiruna na Wadi za Makunduchi zinashirikiana katika maeneo ya elimu na Utalii unaojali mazingira.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.