Habari za Punde

Matukio ya Pemba Ujenzi wa Barabara



 Wananchi wakiangalia Gari iliyopinduka katika barabara ya Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba,kama wanavyoonekanwa pichani,gari hiyo iliyokuwa ikienda kwa mwendo kasi iliingia msingini na kupinduka hivi karibuni
Mafundi wa Kampuni ya Mecco,inayojenga barabara ya Wete-Konde,wakiwa kazini kujenga daraja lililo katika barabara hiyo,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa katika ziara yakutembelea maendeleo ya Miradi mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba (Pichana Ramadhan Othman.]




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.