Baadhi ya Mawaziri wa Wizara mbali mbali na watendaji wao,pamoja na Viongozi wa wilaya ya kaskazini B Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza katika mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Wilaya hiyo,ulifanyika katika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Viongozi na watendaji wa Ofisi za Wilaya ya Kaskazini B Unguja jana,katika mkutano wa majumuisho ya ziara yake katika wilaya hiyo,huo katika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,baada ya kumalizika kwa mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Wilaya ya Kaskazini B Unguja iliyomalizika jana,mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani
Baadhi ya Mawaziri wa Wizara mbali mbali na watendaji, wa Wilaya ya Kaskazini B Unguja, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza katika mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Wilaya ya hiyo,huko Sea Cliff Hotel Mangapwani.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
BALOZI DKT. NCHIMBI ATEMBELEA NYUMBANI KWA BABA WA TAIFA
-
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi
Dkt Emmanuel John Nchimbi ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwalimu
Julius ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment