MENEJA Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Seif Suleiman kushoto akimkabidhi Fulana Afisa Utumishi wa ZAWA Hassan Juma Ali kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za Wiki ya Maji inayoadhimishwa leo ,kulia Afisa Biashara wa ZAWA Kazija Mussa Msheba na kulia Afisa wa masoko PBZ Anasi Rashid, makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za PBZ Malindi
MENEJA Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Seif Suleiman kushoto akimkabidhi Fulana Afisa Biashara wa ZAWA Kazija Mussa Msheba Afisa Utumishi wa ZAWA Hassan Juma Ali kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za Wiki ya Maji inayoadhimishwa leo ,kulia na kulia Afisa wa masoko PBZ Anasi Rashid, makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za PBZ Malindi
MENEJA Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Seif Suleiman kushoto akimkabidhi mfano wa Cheki ya shilingi milioni mbili kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya Kimataifa ya mchezo wa Judo kwa Kiongozi wa Zanzibar Judo Association Tsuyoshi Shimaoka, makabidhiano hayo yamefanyika katika Afisi ya PBZ Ma
mnachekesha wiki ya maji ndo nini? maji yenyewe yako wapi? ukipita mjini na shamba kila mtu ana kitungi au kidumu , tunahaha kutafuta maji , muda wa kuzalisha na kuendeleza nchi sisi tuko majiani kutafuta maji ambacho ni kitu cha msingi , nusu karne hali inazidi kuwa mbaya na wala sio kuwa nzuri kila muda unavyosogea na sisi tunazidi kudidimia , ukichimba kisima kwa gharama zako unaambiwa bado uyalipie maji kila mwezi , acheni nchi kama imekushindeni muwape wenye ujuzi na uwezo wa kuendesha nchi
ReplyDelete