Habari za Punde

Rais Dk. Shein Ziarani Kisiwani Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba,akiwa katika ziara ya kikazi katika Mikoa ya huko Pemba,akianzia Mkoa wa Kaskazni

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali na wana CCM,alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba,akiwa katika ziara ya kikazi katika Mikoa ya Pemba.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa Ofisi ya Mkoa wa Kaskazini Pemba,alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Jamhuri Hall,alipofika kupata ripoti ya Mkoa ,akiwa katika ziara ya kikazi katika Mkoa huo iliyoanza jana kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo, 
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,yenye muundo wa Umoja wa Kitaifa,walioshiriki katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed Shein,katika Mkoa wa Kaskazini Pemba ,wakislikilaza Ripoti ya Mkoa iliyosomwa katika ukumbi wa wa mikutano wa Jamhuri

 Baadhi ya Viongozi na Watendaji wa Ofisi za Mkoa wa kaskazini Pemba wakisikiliza Ripoti ya Utendaji kazi za Mkoa huo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa wa mikutano wa Jamhuri Hall, akiwa katika ziara ya kikazi katika Mkoa huo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed Shein,akiangalia utengenezaji wa barabara inayojengwa kwa Kutumia Saruji,Mchanga na Kifusi,ili kuzuiya uhifadhi wa mazingira ya misitu,katika msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba,alipofanya ziara jana kuangalia maendeleo ya jamii. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.