Habari za Punde

Skuli ya Tumekuja Wawaaaaaaaaaa....................

 Jengo la Skuli ya Tumekuja ikiwa katika hatua za mwisho za Ukarabati wake kwa ajili ya kuaza kutowa Elimu ya Wanafunzo watakaopasi Michipuo ya Sayansi Jamii ili kutowa Elimu kwa Wanafunzi hao wa Soma la Sayans Zanzibar. Skuli hapo awali ilikuwa ikitowa Elimu ya Sekondari kwa Wanafunzi waliokuwa wakisoma katika skuli hiyo na kulazimika kuhamishwa kupisha ujenzi huo baada ya jengo hilo kuwa na hali mbaya kwa matumizi.
 Skuli ya Tumekuja ikiwa katika hali ya Ubora na kupendeza baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa wa jengo hilo.

1 comment:

  1. @Othman
    Ahsante kaka kazi yako nzuri sana ya kuendelea kutujilisha mazingira na miradi ya kimaendeleo ilioko nyumbani. Analau roho zetu zinapumbazika baada ya kusikia propegander za Siasa tuu.

    Jee iko na Library +laborlatory? Nakumbuka zamani kila skuli za secondary zilikua na Lobors nzuri sana za kuwawezesha wanafunzi kusoma Theory na Practice.

    Jee itachukua wanafunzi wangapi? na Ina madarasa angapi?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.