Habari za Punde

Ununuzi wa Vingamuzi vya ZBC Ukiendelea kwa Wananchi wa Zanzibar

 Wananchi wa Zanzibar wakijitokeza katika Ofisi za ZBC  kujipatia Vingamuzi vya Digital vya ZBC vinavyouzwa katika majengo la Rahaleo katika kituo cha Digital, tayari huduma hiyo inapatikana kwa wananchi waliopnunua vingamizi hivyo.kama Wananchi walivyokutwa na mpiga picha akishuhudia mauzo hayo yakifanyika. kwa kijaza fomu maalum kwa wateja wa ZBC    

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.