Kikosi cha Benki ya Watu wa Zanzibar kilicholazimisha sare na Timu ya Baraza la Wawakilishi katika uwanja wa Bomani.
Kikosi cha Timu ya Baraza la Wawakilishi kilichopambana na Timu ya Benki ya Watu wa Zanzibar na kutoka sare ya 1-1
Benchi la timu ya Benki ya Watu wa Zanzibar wakifuatilia mchezo huo timu yao ilikuwa ikicheza na Timu ya Baraza la Wawakilishi katika uwanja wa Bomani .
Mchezaji wa timu ya PBZ mwenye jezi ya njano akimpita beki wa timu ya Baraza.
Viongozi wa Juu wa PBZ wakifuatilia mchezo huo kuona vijana wao wanatowa burudani katika mchezo wa mpira. katika mchezo wa kirafiki na timu ya Baraza la Wawakilishi.
Kiongozi na Kiungo Mchezeshaji wa PBZ Rajab Abdalla akitowa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko ya kipindi cha kwanza wakati timu hizo zikiwa sare ya 1-1.
Beki Mchezeshaji wa timu ya PBZ akimtoka beki wa timu ya Baraza la Wawakilishi katika mchezo wa Kirafiki uliofanyika uwanja wa Bomani.
Golikipa wa timu ya PBZ akiokoaoja ya hatari golini kwake na kutowa kona.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar , akitowa nasaha zake kwa timu zote mbili baada ya mchezo kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya 1-1, na kuwataka wachezaji kudumisha michezo ni moja ya mazoezi ya kujenga mwili kujikinga na maradhi, na kusema PBZ iko pamoja na jamii katika sehemu zote inasaidia jamii katika nyanja mbalimbali na hutumia faida yake kutowa misaada kwa jamii.
aliyeshiba hamjui mwenye njaa, nchi haina maji wala umeme , wala huduma za afya za uhakika na ubora , elimu sikwambii, watu wazima mnacheza mpira badala ya kufikiria mambo ya umuhimu , ama kweli akili si nywele .....
ReplyDelete