Habari za Punde

Wachuuzi wa Samaki Marikiti Zenj.....

Wachuuzi wa Samaki katika marikiti ya darajani wakimpasuwa mapande samaki aina ya taa, kwa ajili ya kuuzwa sokoni hapo.

2 comments:

  1. Bado suala la utaratibu mzuri wa usalama na afya za walaji linahitaji kuangaliwa vizuri, hivi haiwezekani kuwashughulikia samaki hawa katikamazingira bora zaidi??

    ReplyDelete
  2. Allah akbar Allah awanusuru watu na maradhi. Hapo wanapopasulia ni pachafu na njiani. Kwanini Baraza la Mji au Serikali haiweki sheria maalumu yakutunza mazingira ya Marikiti?

    Watu wanalipa pesa zao za Taksi kila mwezi ili wapate Service nzuri kutoka kwenye Serikali za Mitaa na serikali Kuu. Lakini kwetu ss pesa za kodi ya watu hufanyiwa Mikutano ya chama Tawala CCM na nyengine Kunulia Viwanja Wakubwa na Magari 4 manne.

    Wakati umefika wa Serikali za Mitaa kufanyiwa reorm hasa kwa vile Miji ya Zanzibar imezidi kukua na Watu kutoka Tanganyika wanaongezeka. Hivyo Kila Jimbo lingekua na Local Authority yake ambayo ingeweza kukusanya kodi na kuboresha iji na masoko yao.

    Serikali kuu inatakiwa itoe Independet Auditor wakufuatilia matumizi ya fedha zao zinazokusanywa. Jimbo au local authority itakayofanya Vizuri ni lazima ipate Ruzuku nzuri kutoka Serikali kuu.Kuliachia Baraza la Mji na TRA kuendeelea kukusanya kodi za mapato nikulimbikiza wala Rushwa ktk Serikali.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.