Habari za Punde

Wageni wanawake kutoka Sweden walipofundishwa kuvaa Kanga

Wanawake wa Makunduchi waliwazawadia kanga wajumbe wanawake kutoka Kiruna Sweden. Bi Mwanabaraka Kheri Chimbeni akimvalisha kanga Bi Sofie hapo hotelini La Madrugada
Bi Sofie apendeza mno kwa mtindo wa "ushungi"

Vazi la kanga halimtupi mtu, mgeni huonekana kuwa mwenyeji. Katika picha kutoka kushoto ni Bi Maria akifuatiwa na Sofie na Sarri



1 comment:

  1. Asante Mapara kwa kutuwekea tuone jinsi mama zetu wanavyo jitahidi kuhifadhi Utamaduni na urembo kwa kweli wasedish wamependeza sana mwanamke ni kivazina sio kwenda utupu

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.