Habari za Punde

Warioba kukutana na waandishi kesho

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba atakutana na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Mikutano wa Tume, Mtaa wa Ohio, jijini Dar es Salaam, kesho (Alhamisi, Machi 7, 2013) kuanzia saa 4:00 asubuhi. Katika mkutano huo, Jaji Warioba atazungumzia uundwaji na uendeshaji wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya. Waandishi wa Habari wa vyombo vyote mnakaribishwa.
Rgds
Omega S. Ngole,
Principal Information Officer,
Constitutional Review Commission (Tanzania),
Ohio Street,
PO Box 1681,
Dar es Salaam,
Tel:
+255 (0) 22 2133425,
Fax:
+255 (0) 22 2133442,
Mobile: +255 (00 757 500800,
Website:
www.katiba.go.tz

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.