Wananchi wa Tasini Kiwani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipofika kuwasalimia baada ya kukagua maendeleo ya Ujenzi wa barabara ya vijiji hivyo akiwa katika ziara ya Wilaya ya Mkoani Pemba jana
Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea Taarifa ya ujenzi wa kituo cha Afya Tasini Kiwani kutoka kwa Mwalimu Abdalla Juma Mustafa, baada ya kukagua maendeleo ya Ujenzi wa kituo hicho,akiwa katika ziara ya Wilaya ya Mkoani Pemba janaBaadhi ya wanafunzi na Wazee wa wakimsikiliza Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza nao alipokagua ujenzi wa kituocha Afya na barabara ya Tasini Kiwani ,akiwa katika ziara ya Wilaya ya Mkoani Pemba jana
Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa nne kushoto) na Viongozi wengine wakiitikia dua baada ya kukamilika kwa harambee aliyoiitisha kuchangia ujenzi wa Kituo cha Afya Tasini Kiwani Wilaya ya Mkoani Pemba,akiwa katika ziara ya kikazi ndani ya Mkoa huo.
Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) alipofika kukagua wagonjwa akianza na Mzee Hassan Kombo,aliyepata ajali ya vespa akiwa katika
Hospitali ya Mkoani Pemba,katika ziara ya kikazi ndani ya Mkoa huo.
Hospitali ya Mkoani Pemba,katika ziara ya kikazi ndani ya Mkoa huo.
Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipofika kukagua wagonjwa katika Hospitali ya Abdalla Mzee,Mkoani Pemba,pichani Dk. Shein, akimuangalia Mtoto Husna Mohamed Kombo,(kichanga) akiwa na Mama yake Riziki Haji,mtoto huyo anasumbuliwa na kitovu,Rais akiwa kisiwani Pemba kwa Ziara ya kikazi ndani ya Mkoa wa Kusini 
Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa nne kushoto) akipatra maelezo Kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti waBaraza la Mapinduzi Salum Maulid, (Kibanzi) alipotembelea matengenezo makubwa ya Ikulu Ndogo ya Mkoani Pemba,alipokuwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Pemba jana.
Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,( kushoto) akisalimiana na kiongozi wa Mafundi wa kikosi cha jeshi la KMKM CPO Abrahmani Masoud,baada ya kukagua matengenezo ya Ikulu ndogo yanayofanywa na Kikosi hicho huko Ikulu Ndogo ya Mkoani Pemba
Picha zote na Ramadhan Othman, Pemba
mbona hamuoneshi hata kikande cha picha cha hiyo barabara inayojengwa?
ReplyDelete