Habari za Punde

Dk Shein akutana na uongozi wa ofisi ya makamo wa kwanza wa Rais

 Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali katika Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais ,wakiwa katika Ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha Utekelezaji wa Kazi za Ofisi hiyo chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) jioni jana,
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Dk.Islam Seif Salum,(kushoto) akiwa na Wakurugenzi na maofisa wa Idara mbali mbali ,katika Ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini
Zanzibar, katika kikao cha Utekelezaji wa Kazi za Ofisi hiyo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) jioni jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais , katika utekelezaji wa kazi za
Ofisi hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana jioni,
 
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.