Habari za Punde

Maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano

 Rais wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete, akipokea Salamu ya Heshma ya Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika Kilele cha Maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano wa Tanzania
zilizofanyika leo katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
 Wananchi na Viongozi walioalikwa katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano wa Tanzania zilizofanyika leo katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,wakifuatilia kwa makini
harakati za sherehe zilivyoendelea
 Rais wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika Kilele cha Maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano wa Tanzania,sherehe hizo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
 Rais wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika Kilele cha Maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano wa Tanzania,sherehe hizo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipowasili katika Uwanja wa Uhuru wa Jijini Dar es Salaam, katika Kilele cha Maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano wa Tanzania zilizofanyika leo






VIKOSI MBALI MBALI VYA ULINZI NA USALAMA VIKIPIOTA MBELE YA RAIS WA
TANZANIA DK.JAKAYA KIKWETE,KUTOA HESHMA KWA MWENDO WA HARAKA LEO
KATIKA UWANJA WA UHURU KUADHIMISHA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANZANIA

Picha zote na Ramadhan Othman

1 comment:

  1. hii tishatisha inapewa kwa viongozi wa znz wakijaribu kufurukuta kudai uhuru wa znz na kuvunja muungano basi wataona joto ya jiwe , shenzi!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.