Mdau wa gari ya kubebea mizigo kutumia gari ya Punda Zenj akiweka sawa gari lake kupisha msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein kupita katika barabara ya Bububu mtoni jana akiendelea na ziara yake kutembelea Matawi ya CCM, kijana huyu akiwa katika kituo cha daladala mtoni.
Magari ya kutumia punda ni moja ya usafiri wa kawaida hutumika katika kubebea mizigo kwa kutumia punda , hurahisisha wananchi kwa kubebea mizigo.
A.alaikum
ReplyDeleteebwana weee home sweet home, shukran..
hapo ni nyumbani kwetu mtoni,ages sijafika.
mdau uk