Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiongoza kikao cha Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,katika utekelezaji wa kazi za taasisi hizo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,(kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahya Mzee.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Baadhi ya Watendaji Maafisa Tawala katika Mikoa ya Zanzibar,wakiwa katika mkutano uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,chini ya Mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika utekelezaji wa kazi za taasisi hizo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi

No comments:
Post a Comment