Habari za Punde

Mwili wa Marehemu Haji Mohammed Ukisafirishwa Bandari ya Dar-es- Salaam.



Meneja wa Kampuni ya Boti ya Azam Marine Hussein,  na wafanyakazi ya Ubebaji wa mizigo katika bandari ya Dar-es-Salaam wakibeba jeneza la Marehemu Haji Mohammed, kwa ajili ya kuupakia katika Boti ya Kilimanjaro 2.


Wananchi wakiwa katika bandari ya Dar-es-Salaam wakiuanga mwili wa Marehemu Haji Mohammed katika bandari ya Dar-es-Salaam, ukisafirishwa kwenda Zanzibar kwa Mazishi.
Wasanii na Wapenzi wa Muziki wa Taraab  Dar-es- Salamaa, wakiushindikiza mwili wa Msanii Mkongwe wa Muziki wa Taarab Tanzania Haji Mohammed katika bandari ya Dar-es-Salaam ukisafirishwa na Boti ya Kilimanjaro 2, kwa ajili ya mazisha kisiwani Zanzibar . 

2 comments:

  1. Kaka, ahsante kwa taarifa za msiba, lakini tunaomba pia picha ya marehemu kama unayo, kwani ni sku nyingi hajaonekana kwenye vyombo vya khabari na sisi wengine wakati melody inaunguruma hapa mjini, tulikua bado tuko shamba kwa hivyo please..if possible!

    ReplyDelete
  2. Duuu..tena kweli!!1

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.