Habari za Punde

PBZ Islamic Bank yatoa Msaada wa Mabati kwa Msikiti wa Mzambarauni Fujoni.

Meneja Masoko wa PBZ Seif Suleiman, kushoto akimkabidhi mwakilishi wa Msikiti wa Ijumaa Mzambarauni Fujoni Wilaya ya Kaskazini B. Salum Chum, mabati 100 kwa ajili ya matumizi ya msikiti huo, PBZ  Islamic Benki hutsaidia na kutoa misada kwa jamii ikiwa ni moja ya kukuza uhusiano na wateja wake na kutowa moja ya faida inayopatikana katika kutowa huduma za wateja wake na faida hutumia kusaidia shughuli za jamii Zanzibar.    

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.