Habari za Punde

Dk Shein akutana na uongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya vijana , wanawake na watoto

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto, (hawapo pichani) katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi
Baadhi ya watendaji na Maofisa katika Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto, wakiwa katika mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.