Habari za Punde

Wajumbe Tume ya Katiba waendelea na uchambuzi wa maoni ya wananchi

 Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Alhaji Said El Maamry (kulia) akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika Alhamisi (April 18, 2013) katika ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Wajumbe wa Tume, Omar Sheha Mussa, John Nkolo na Abubakar Ali.

 
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Alhaji Said El Maamry (kulia) akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika (Alhamisi April 18, 2013) katika ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Wajumbe wa Tume, Bi. Riziki Mngwali na Kibibi Hassan
 
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Salma Maoulidi (kulia) akizungumza wakati wak ikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika leo(Alhamisi April 18, 2013 ) katika ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kuliani Wajumbe wa Tume, Bi. Fatma Ali, Jesca Mkuchu na Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume, Bw. Said Nzori.


Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Joseph Butiku (katikati) akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika (Alhamisi April 18, 2013) katika ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Kuliani Mjumbe wa Bw. Simai Mohammed na Prof. Mwesiga Baregu.
(PICHA NA TUME YA KATIBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.