Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika hafla ya kumpongeza Mhe. Fatma Ferej kwa kupewa tunzo ya mwanamke jasiri, 2013.
Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba, akizungumza katika hafla ya kumpongeza Mhe. Fatma Ferej kwa kupewa tunzo ya mwanamke jasiri, 2013.
Prof. Lipumba na Maalim Seif wakimpongeza Fatma Ferej kwa kupewa Tunzo ya mwanamke jasiri Tanzania kwa mwaka 2013.
Mkurugenzi wa Fedha CUF Bi Zakia Omar, akimvisha koja Mhe. Fatma Ferej kama ishara ya kumpongeza kwa kupewa Tunzo ya mwanamke jasiri Tanzania, 2013.
Viongozi wanawake wa CUF wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Fatma Ferej (wa nne kulia) katika hafla ya kumpongeza iliyofanyika hoteli ya Bwawani.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar MaalimSeif Sharif Hamad na Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof Ibrahim Lipumba wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Fatma Ferej kwa kutunikiwa Tunzo ya Mwanamke Jasiri Tanzania.
Wasanii wa ngoma ya Kingazija wakisubiri kutoa burudani katika hafla ya kumpongeza Fatma Ferej, hoteli ya Bwawani.
Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais Mama Awena Sinani, akiangalia kazi za wajasiriamali wa CUF, akiongozana na Mhe. Fatma Ferej, katika hafla ya kumpongeza kutoana na kupewa tunzo ya mwanamke jasiri Tanzania 2013.
(Picha na Salim Said OMKR)
No comments:
Post a Comment