Habari za Punde

Ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akivalishwa shada la mauwa na kijana Chipukizi wa CCM
Cleopatra Saidi Omarn wa Dunga Wilaya ya kati alipoanza ziara ya Chama cha Mapinduzi katika wilaya hiyo leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akipokea Taarifa ya kazi za Chama Wilaya ya kati Unguja kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya Zainab Shomari,alipowasili Ofisi Kuu ya Chama Wilaya Unguja
huko Dunga alipoanza ziara ya kuimarisha Chama cha CCM katika Mkoa wa Kusini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi jengo la Afisi ya CCM
Wadi ya Jumbi,Jimbo la Koani Wilaya ya kati Unguja katika ziara za kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja
 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pamoja na viongozi wengine wakisikiliza Risala ya wanachama Tawi la Mchangani,iliyosomwa na Katibu Mwenezi Salum Hussein Khamis, baada ya kuweka jiwe la msingi akiwa katika ziara za kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja
 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Boxi lenye bomba la Kumwagilia dawa Mkulima Docta Kisinja Lubasha,katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi, Tawi la CCM Mchangani Jimbo la Uzini,Wilaya ya Kati katika ziara za kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Tawi la CCM Ndijani
Kongo A,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
 Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM waliofurika katika Viwanja vya Mpira Ndijani Mseweni,wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCMZanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao akiwa
katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akimkabidhi Kadi Mwanachama Mpya wa CCM Saria Abdalla Abdalla,katika mkutano wa hadhara Ndijani Mseweni Jimbo la Chwaka,akiwa katika zaiara ya
Kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
 Wanachama Wapya waliojiunga na CCM wakila kiapo cha Utii kwa Chama cha Mapinduzi baada ya kukqbidhiwa kadi zao,ambapo kwa Wilaya ya Kati waliokabidhiwa kadi wanachama Mia saba na Thamanini na saba,(787) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akiwa katika ziara ya Kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja,ramadhan Abdakla Ali,alipokuwa akizungumza machache na wanachama na wananchi wa Ndijani Mseweni Jimbo la Chwaka,katika
mkutano wa hadhara,uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akiwa katika zaiara ya Kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

1 comment:

  1. ndugu Sheni, fanyeni yote hayo lakini mkumbuke kila mtu atarudi kwa udongo , huenda madaraka yakakulewesha basi nimekukumbusha wajibu wako, Waznz hawataki muungano na hili unalijua usije kujisahau mpaka umeingia kwa udongo kukutana na Mola wako hali kuwa ni dhalili na mwenye kuadhibiwa kwa kusimamia dhuluma , hakika Mwenyezi Mungu hawapendi wenye kudhulumu , na wewe ni mmoja kati ya wanaodhulumu haki za waznz kijitawala wenyewe, utawajibishwa na aliye mkuu kuliko Kiwete na kundi lake, jee utasema hujakumbushwa?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.