Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania Abdulla Ibrahim AL-Suwaidi,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Nchini Tanzania Abdulla Ibrahim AL-Suwaidi,baada ya mazungumzo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo (Picha na Ramadhan Othman Ikulu)
Kichwa cha khabri hakilingani na maelezo
ReplyDeleteShukran mkuu kwa kuliona hilo. Tayari tumerekebisha
ReplyDelete