Uimarishaji wa Miundombinu ni moja ya kuimarisha na kuboresha maisha ya wananchi katika kutowa huduma ya kusafirisha mazao kutoka mashambani na kwenda katika masoko ili kukuza kipato chake.
Barabara hii ni mkombozi wa Wakulima wa njia ya Wilaya ya Kati husafirisha bidhaa zao kwa usalama na amani kinyume na hapo mwanzo usafiri wa njia hii ulikuwa ni wa shida kutokana na barabara hii kutokuwa na kiwango cha lami na kurahisisha usafiri kutoka sehemu moja kwenda nyengine. kwa muda mfupi
Nawapa hongera wizara ya miundombinu kwa ujenzi mzuri wa barabara lakini aibu ikopalepale miaka50 ya mapinduzi tunajenga barabara kama hizi zilokuwa hazina viwango vya ubara, na mitaro ya kupitia maji yamvua, garimbili haziwezikupisha.Tunaelekea wapi?
ReplyDeleteAngalia sana maneno kama:miaka 50, maji ya mvua, gari mbili, haziwezi kupishana.
ReplyDeleteUnahitaji kutenganisha maneno kama nilivyofanya mimi
Hata hivyo, ahsante kwa maoni mazuri!