MATANGAZO MADOGO MADOGO

Sunday, May 5, 2013

Dk Bilal awafariji majeruhi wa mlipuko wa Bomu Arusha Makamu wa raisi Dkt Mohamed Gharib Bilal Pamoja na Mh.Stephen Masele wakiwapa pole majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea majira ya saa 4;35 asubuhi kwenye uzinduzi wa kanisa la St.Joseph Mfanyakzi maeneo ya Olasit jijini Arusha
Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT)Dkt Alex Malasusa akiwafariji wananchi baada ya kupewa nafasi ya kuwaombea majeruhi waliolazwa katika hospital ya Mount meru baada ya kulipukiwa na kitu kinachodhani kuwa ni bomu

Picha zote na Mahmoud Ahmad Arusha