Habari za Punde

Dk. Shein azindua mbio za Mwenge Chokocho Pemba.


Mnara wa Kumbukumbu ya Sherehe za Mwenge zilizofanyika katika Kijiji cha Chokocho Wilaya ya Mkoani Kusini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungwa kiskafu na Kijana wa Chipukizi Asia Mohammed , alipowasili katika viwanja vya Sherehe za Uzinduzi wa Uwashaji wa Mwenge wa Uhuru.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondowa kipazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la Mnara wa Kumbukumbu wa kuwasha Mwenge katika Kijiji cha Chokocho alipozaliwa Dk. Shein, 
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Wanawake na Watoto Msham Abdalla, akitowa maelezo ya ujenzi wa Mnara huo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, baada ya kuuzinduwa Mnara huo ukiwa ni kumbukumbu ya Sherehe za Mwenge katika Kijiji cha Chokocho.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwasili katika viwanja vya sherehe ya Uwashaji Mwenge kushoto Waziri wa Habari Vjina na Michezo Dk. Fenela Mukangara na kulia Waziri wa Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Wanawake na WatotoZanzibar Zainab Omar. wakiongozania na Rais wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika Jukwaa lililoandaliwa kwa ajili ya uzinduzi wa sherehe hizo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika sherehe za uwashaji wa Mwenge wa Uhuru kitaifa zimefanyika katika viwanja vya Kijiji cha Chokocho kisiwani Pemba
Waziri wa Habari Vijana na Michezo Dk. Fenela Mukangara akihutubia katika sherehe za uwashaji wa Mwenge wa Uhuru katika Kijiji cha Chokocho Kisiwani Pemba
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Juma Kassim Tindwa akitowa salamu za Mkoa wake katika sherehe za Uwashaji waMwenge wa Uhuru na kumtambulishaMkuu wa Mkoa wa Iringa ambako ndiko kutakpofanyika Maadhimisho ya Mbio za Mwenge Kitaofa.
Waziri wa Ustawi waJamii Maendeleo ya Wanawake na Watoto Zainab Omar, akihutubia katika sherehe hiyo na kuwatambulisha wakimbiza Mwenge kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein,, katika viwanja vya Chokocho.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitambulshwa majina ya Vijana wanaokimbiza Mwenge Mwaka huu katika viwanja vya Kijiji cha Chokocho.
 
Wakimbiza Mwenge wa Uhuru mwaka huu wakiwa katika mwendo wa bwaride kwenda kutambulishwa kwa Rais wa Zanzibarv Dk. Shein, kutoka kulia Christopher Emmanuel Joseph kutoka Mkoa waKigoma, LT Zuwena Gulam Abdalla kutoka Mkoa wa Kusini Unguja, LT. Speratu Ngemela Lubinga kutoka Mkoa wa Iringa, Juma Ali Simai Kiongozi waMbio za Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoa wa Kusini Unguja, Zamda Ahmed John kutoka Mkoa wa Tanga na Mgeni Said Mgeni kutoka Mkoa waKusini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza lacMapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasha Mwenge wa Uhuru kwa ajili ya kuaza mbio zake katika Mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar, sherehe hizo za uwashaji wa Mwenge wa Uhuru zimefanyika katika Kijiji alichozaliwa Rais wa Zanzibar Dk. Shein, Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shien, akimkabidhi Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Juma Ali Simai,baada ya kuwasha katika viwanja vya Chokocho tayari kwa kuanza mbio zake katika Mikoa ya Tanzania bara na Zanzibar.

Vijana wa Halaiki wakionesha umbo la Mwenge wa Uhuru kwa Wananchi waliofika katika sherehe hizo katika viwanja vha Chokocho.
Vijana wa Halaiki wakionesha michoro ya maneo yenye ujumbe wa mbio za mwenge mwaka huu.
Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia sherehe za Uwashaji wa Mwenge wa Uhuru katika Viwanja vya Chokocho Pemba.
 
Wananchi wakishudia uwashaji wa Mwenge wa Uhuru katika viwanja vya Chokocho
  















3 comments:

  1. twasherekea moto eeen haya

    ReplyDelete
  2. Innalillahi wa Inna ilayhi raajiuun.

    ReplyDelete
  3. Tunaendelea kuburuzwa tu wakatoliki wala hatujijui, Bebdera za UAMSHO hazitakikani kuonekana lakini kuabudia moto tena kwa waislamu wenye akili timamu angalia jinsi wanavyolipigia chapua suala hili ni maangamizi makubwa haya, INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIIUUNA.

    Hii ni ibada iliyotayarishwa na nyerere kuwapotoa waislamu na viongozi kwa kukimbilia tonge na starehe za dunia wanajitia pamba za masikio kusema jambo hili halifai kwa imani zetu waislamu.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.