Habari za Punde

Maonesho ya Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kuanza Tarehe 13.05.2013 hadi 18.05.2013 Mkoani Dodoma.

Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka  akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na wiki ya maonyesho ya hifadhi hiyo yatakayoanza tarehe 13 hadi 18 Mei mwaka huu katika viwanja vya Nyerere Squere mjini Dodoma na kusititiza wananchi wajitokeze kwa wingi. 

Afisa Uhusiano Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Sarah  Kibonde Msika akitoa neno la ukaribisho kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam ili kutoa taarifa ya wiki ya maonyesho ya hifadhi hiyo yatakayoanza tarehe 13 hadi 18 Mei mwaka huu katika viwanja vya Nyerere Squere mjini Dodoma.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.