Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe
aliofuatana nao wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Beijing nchini china kwa ziara ya mualiko
wa Serikali wa Jamhuri hiyo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa China nchini
Tanzania anayefanyia kazi zake Zanzibar Bibi Chen Qiman, mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa Beijing nchini china kwa ziara ya mualiko wa Serikali
wa Jamhuri hiyo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana
na Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania
Nchini China ,katika
VIP katika uwanja wa ndege wa Beijing
nchini china kwa ziara ya mualiko wa Serikali wa Jamhuri hiyo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiwa katika
mapunziko mfupi katika Chumba cha Viongozi wakuu VIP,walipokaribishwa na Balozi Mdogo wa China nchini Tanzania
anayefanyia kazi zake Zanzibar Bibi Chen Qiman,(kulia) mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa Beijing nchini china kwa ziara ya mualiko wa Serikali
wa Jamhuri hiyo leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakikaribishwa na
Balozi wa Tanzania Nchi China Philip Sang’ka Marmo pamoja na Mkewe,katika
hoteli ya China World Hotel,katika mji wa
Beijing nchini China akiwa katika ziara ya Kiserikali kwa mualiko wa
Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China.
Picha zote na Ramadhan Othman, Beijing, China
Picha zote na Ramadhan Othman, Beijing, China
mbona hatujamuona kiongozi yoyote mkubwa wa china kumkaribisha rais sheni? au...yale yaleee, zanzibar sio nchi ndio maana? shime tuvunje muungano ndugu yangu dk sheni ,
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteNoma unapokelewa na balozi mdogo tena katoka zenjy kaja kukupokea ww mboma hawatuheshimu au na yeye balozi wa zenjy lol
ReplyDeleteJamani takungu 1964,Zbar si nchi Tanzania diyo inayo julikana sasa mjumbe wa baraza la mawaziri akapo kelewa nani? kama balozi mnaona hafai?.tulipopata furusa ya kubadilisha kaitiba mlifanya fitina mkasema mwataka nkataba, mambomuhim hatuku changia, kulaumu ni kilema chetu kapokelewa na sheha au naibu wake.Tuwache ujinga tutafute maendeleo
ReplyDelete