Habari za Punde

Dkt Shein Azungumza na Wanafunzi wa Fidel Castro Pemba Akiwa katika Ziara yake Kisiwani humo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanafunzi wa Skuli ya Fidel Kastro Pemba leo jioni,Rais alichukua hatua hiyo kusikiliza changamoto mbali mbali zinazoikabili skuli pamoja na wanafunzi wanaosoma katika Skulini hapo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

1 comment:

  1. Huyu mh sianaziara ya kichama? naona anazungumza na wanafunzi au ndio wanachama wake?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.