Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanafunzi wa Skuli ya Fidel Kastro Pemba leo jioni,Rais alichukua hatua hiyo kusikiliza changamoto mbali mbali zinazoikabili skuli pamoja na wanafunzi wanaosoma katika Skulini hapo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
WIZARA YA FEDHA YARAHISISHA UPATIKANAJI WA TAARIFA ZAKE
-
Na. Peter Haule na Chedaiwe Msuya, WF, Dar es Salaam
Wananchi wametakiwa kutumia taarifa zinazotolewa na Wizara ya Fedha kupitia
njia mbalimbali za mawasil...
40 minutes ago
Huyu mh sianaziara ya kichama? naona anazungumza na wanafunzi au ndio wanachama wake?
ReplyDelete