Habari za Punde

Habari ndiyo hiyo

mimi kama mzanzibar nakubaliana na hili suala JE ww unajubaliiiiiiiiiii?

5 comments:

  1. mambo ya muhimu hamuyafanyi kazi munareta upumbavu wenu hapa , kama majahiri vire. Kipaumbere ni kuvunjwa muungano ,na baada hapo kureta maendereo muhimu katika sekta za maji , umeme, erimu , afya , haya ndio mambo ya musingi katika maisha , mengine huja baadae, fedha za kuwarea jera hao wariotajwa hapo juu si bola zikatumika kwa mambo muhimu niriyotaja? MUUNGANO KWENDA KWENU KURE TANGANYIKA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani wewe unazungumza kama mzanzibari au au Mtanganyika? Kama mzanzibari weye sie hakuna mzanzibari anaeandika "Munareta", "Majahiri", "kure" wewe ni mkura kwa hiyo usituingilie kama wewe shoga rudi kwenu

      Delete
  2. kajifunze kiswahili huko, habari ndio hio kama we shoga subiri hio adhabu. Nuksi tupu...

    ReplyDelete
  3. nafikiria hatujajijua sisi ni nani na tuko kwa ajili ya nani haya mambo yana hukumu yake kwetu sisi waislamu unaposema kumfunga mbakaji shoga msagaji umepata wapi sheria iyo halafu unajisifu mimi muislamu sijida kubwa kikomoni nashindwa kupata tafsiri = kupepea uporo (mwiku)

    ReplyDelete
  4. Kwanza hili ni gazeti gani linaloleta fitna?

    Kawaida ya jamii iliyokosa elimu kama hii ya kwetu, inaweza ikahisi kuwa taarifa kama hii ni jambo la kujisifia lakni kumbe tunafitinishwa!

    Waswahili husema"mtakaunda haneni" kama kweli tumedhamiria hilo na sheria tumeshabadilisha, tufanye tu na sio lazima kutangazia magazeti.

    Nazikumbuka fitna kama tatu maaru zilizofanywa na magazeti kutokana na kujisifu kwetu.

    Ni zile za kuzuia 'wageni' kumiliki ardhi,kupewa ZID, na kuajiriwa Z'bar kwa vile lilihusisha pia wenzetu wa Bara.

    Kama kweli tulikusudia hilo, tulitakiwa ku'deal na masheha, halmashauri pamoja na waajiri na sio vyombo vya khabari!

    Hakuna hata moja kati ya niliyoyataja ambalo halipitii ktk mikono ya vyombo nilivyovitaja.

    Tuacheni mambo ya kibunuasi!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.