Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwasalimia
viongozi wa Chama alipowasili uwanja wa Ofisi ya CCM KIsiwandui Mjini
Unguja kukiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya Taifa
kilichofanyika leo.
Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati
Maalum ya Halmashauri kuu ya Taifa,wakipitia agenda mbali mbali za
kikao hicho kinachoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, katika ukumbi wa mikutano wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja
leo.
Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati
Maalum ya Halmashauri kuu ya Taifa,wakipitia agenda mbali mbali za
kikao hicho kinachoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, katika ukumbi wa mikutano wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja
leo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)
akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa,katika ukumbi wa CCM KIsiwandui leo,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa
CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, na Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM
Taifa,Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto) .[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment