Kikosi cha Timu ya KMKM Mabingwa wa Ligi Kuu ya Grant Malt Zanzibar, kwa mwaka 2013-2014.
Machano akabidhi kumbe la ubingwa kwa Maulid Ibrahim, Kepteni wa KMKM.
Wadhamini wa ligi kuu ya Zanzibar Grand Malt, viongozi wa ZFA Mgeni rasmi na wachezaji wa KMKM baada ya kukabidhiwa kombe la ubingwa kwenye uwanja wa Amaan jana.
Meneja wa Grand Malt, Consolata Adamu (kulia) na meneja Masoko wake, Mohamed Butala wakionyesha zawadi waliyopewa na ZFA ikiwa ni shukrani kwa Grand Malt kwa kuidhamini ligi kuu ya zanzibar kwa ufanisi mkubwa.
Washambuliaji wa KMKM (kulia) Hashim Ramadhan na juma Mbwana wakilisakama lango la Zimamoto.
Washambuliaji wa KMKM (katikati) wakilishambulia lango la Zimamoto.
No comments:
Post a Comment