Mchezaji wa timu ya Polisi akiwa katika kujiandaa kufunga katika mchezo wa ligi ya Zanzibar Kada ya Unguja timu ya Polisi imeshinda kwa Vikapu 55-52, mchezo uliofanyika uwanja wa Maisara.
Mchezaji wa timu ya Rangers akiwa na mpira na huku wachezaji wa timu ya Polisi wakigombea mpira katika mchezo huo.timu ya Polisi imeshinda kwa vikapu 55-52.
Wapenzi wa mpira wa Kikapu Zanzibar wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar kanda ya Unguja.
No comments:
Post a Comment