Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Viongozi wa Kanisa Katoliki la Mt.Joseph Mfanyakazi la Olasiti Arusha, alipofika kutembelea kanisa hilo kujionea hasara iliopatika katika mripoko huo. hivi karibuni..
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiangalia picha ya X-Ray ya mmoja wa mgonjwa aliyejeruhiwa katika ajali hiyo ya bomu alipotembelea hospitali ya Mount Meru kuwafariji majeruhi wa ajali hiyo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimuangalia mmoja kati ya wagonjwa waliolazwa hospitali ya Mount Meru baada ya kujeruhiwa kwa bomu katika mripuko uliotokea kanisani Arusha hivi karibuni. (Picha na OMKR)
No comments:
Post a Comment