Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wananchi wa Singida katika mkutano wa hadhara uliofanyika Singida mjini.
Mbunge wa Jimbo la Mkanyageni Habibu Mnyaa, akiwahutubia wananchi wa Singida katika mkutano wa hadhara uliofanyika Singida mjini.
Mbunge wa viti maalum kutoka mkoa wa Tabora Madelina Sakaya, akiwahutubia wananchi wa Singida katika mkutano wa hadhara uliofanyika Singida mjini.
Naibu Mkurugenzi wa haki za binadamu, habari na uenezi wa CUF, Abdul Kambaya, akiwahutubia wananchi wa Singida katika mkutano wa hadhara uliofanyika Singida mjini.
Wananchi wa Singida wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akihutubia mkutano wa hadhara Singida Mjini.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Baraza la waislamu mkoani Singida waliofika Ikulu ndogo ya Singida kwa ajili ya kuzungumza nae.
Baadhi ya viongozi wa Baraza la waislamu Mkoani Singida waliokutana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, Ikulu ndogo ya Singida. (Picha na Salmin Said, OMKR).
NEWTA YAZINDULIWA DAR, KULETA MAGEUZI SEKTA YA UJENZI
-
Makamu wa Rais wa Huaxin Group (mwenye koti) Wang Jiajun akiongoza
watendaji wengine katika uzinduzi rasmi wa cement mpya ya Newta Jijini Dar
es Salaam
...
1 hour ago
Maalim inabidi urudi darasani ukausome uislamu kuhusu Hijabu.
ReplyDeleteHiyo mikono kwa akina mama.....bahati nzuri huyo mama kaustiri mkono wake.
Hil la kusalimiana halitaki kusoma uislam, kusalimiana wajibu utukusalimiana
ReplyDeleteKupeana mikono baina ya mwanamume na mwanamke wanaoweza kuoana imekatazwa,haYO ni mafundisho ya kiislamu
DeleteKuimarisha cha huko Tanganyika nijambo la lazima lakini Maalim umecherewa wenzio chadema washaramba dume
ReplyDelete