Habari za Punde

Majumuisho ya ziara ya makamo Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini


Wazee wa Chama cha Mapinduzi,pamoja na Viongozi wa wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa wa Kaskazini Unguja,mkutano ulifanyika jana ukumbi wa Ofisi ya Jimbo Kinduni.

Wazee wa Chama cha Mapinduzi,pamoja na Viongozi wa wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa wa Kaskazini Unguja,mkutano ulifanyika jana ukumbi wa Ofisi ya Jimbo Kinduni

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi wa CCM,katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa wa Kaskazini Unguja,mkutano ulifanyika jana ukumbi wa Ofisi ya Jimbo Kinduni,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,pia Mbunge wa Jimbo la Kitope,na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Haji Juma Haji,(wa pili kushoto).

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi wa CCM,katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa wa Kaskazini Unguja,mkutano ulifanyika jana ukumbi wa Ofisi ya Jimbo Kinduni.[Picha zote na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.