Habari za Punde

Ziara ya Makamo Mwenyekiti wa CCM wilaya ya kaskazini B


Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na viongozi wa Tawi la CCM wilaya ya Kaskazini B alipofika kuweka Jiwe la Msingi Tawi hilo,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Tawi la CCM Zingwezingwe wilaya ya Kaskazini B,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akipokea Risala ya Wanachama wa Tawi la CCM Zingwezingwe wilaya ya Kaskazini B,kutoka kwa Mshika fedha Mwaka Kassim Ali,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanachama wa Tawi la CCM Zingwezingwe baada ya kuweka jiwe la msingi Tawi la Kijiji hicho,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi tawi la CCM kwa Gube Mfenesini ,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo

Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi wakila kiapo cha utii baada ya kukabidhiwa kadi zao na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanachama wa Tawi la CCM kwa Gube Mfenesini baada ya kuweka jiwe la msingi Tawi la Kijiji hicho,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

2 comments:

  1. ndugu yangu sheni, angalia sana huyo mwenzio wa kushoto atakupoteza , raia wako hatutaki muungano , wewe umeshikilia tu , tukomboe tupate uhuru wetu, kabla hujarudi kwa udongo kwa Mungu hakuko mbali tena ndugu yangu. Raia wako hawakushangilii kwa furaha bali kwa woga, tabasamu zimeficha uoga moyoni mwao , huu utawala gani wa kutawala raia kwa kuwatia hofu? jee hujui kuwa kuna siku utakutana na mfalme wa wafalme ambaye atakuhoji na kukuadhibu kwa dhuluma ulizokuwa unazifanya ukiwa katika madaraka?

    ReplyDelete
  2. Matatizo ya Z'bar si Mapinduzi,si Muungano, si CCM wala CUF bali ni mitazamo(attitudes) za W'bari wenyewe.

    Mitazamo hii imetufanya tushindwe hata kusimamia familia zetu wenyewe kama inavyotakiwa.

    Matokeo yake sasa, tumezalisha viongozi ambao wanaogopana, wanashindwa kukosoana, kazi haziendi na visiwa vianadidimia kisiasa, kiuchumi na kimaadili sisi tumebaki tunalaumiana.

    Baya zaidi hadi hii leo hakuna aliyefanya utafiti akagundua kwanini Z'bar 'mambo hayaendi' tunakurupuka tu pengine kutokana na chuki au jazba na kusema" Mapinduzi,Muungano,CCM CUF,Wakristo nk.

    Kazi...kweli kweli!!!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.