Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Democratic USA, kuanzia (Kulia) kwa Makamu ni David Wilhem, Michael Granger, Chris Bulinger na mwenyeji wao, Dastan Mrutu, kutoka Business Council, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Democratic USA, kuanzia (Kulia) ni David Wilhem, Chris Bulinger, (kulia kwa Makamu) ni Michael Granger, na mwenyeji wa ujumbe huo, Dastan Mrutu, kutoka Business Council, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Mei 9, 2013. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment