Habari za Punde

Mdau Akitinga na Punda Wake Chake Chake Pemba.

Mdau akiwa na Punda wake akikata mitaa ya kijiji cha mizingani akiwa na mizigo akisafirisha, Mdau kama uko na kumbukumbu enzi zile za Mababu usafiri wa aina hii ulikuwa kijiko na mtu muhimu katika kijiji ukimiliki punda sawa na maeneo ya Muembemakumbi bila Punda sio kijana wa mtaa huo.
Punda enzi hizo walikuwa wakifanya kazi za kukusanya nazi wakati wa jangusho katika mashamba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.