Mdau mambo ya Ukulima wa Kilimo Bora katika kilimo cha migomba kisiwani Pemba.
Kilimo cha Migomba kimechukuwa sehemu kubwa ya kipato cha Wakulima wa Vijiji vya Kisiwani Pemba, ndizi hulimwa kwa wingi kwa ajili ya sehemu kubwa ya zao hilo husafirishwa katika kisiwa cha Unguja kwa biashara.
Zao hili husafirishwa kila siku meli inaporudi Unguja huwa na asilimia kubwa na mizigo katika meli hizo ni ndizi za aina mbambali hufikishwa sokoni Mwanakwerekwe kwa mauzo ya jumla na kuwafikia walaji.
No comments:
Post a Comment